Wakati Baadhi ya wasanii wa kike hapa Bongo wakizidi kutushutumiana,na huko Nollywood mambo si shwari,mara baada nyota wawili Rita Dominic na Ini Edo Ehigwene huenda isimalizike hivi karibuni.
Mtafaruku ulianza mara baada ya Wananchi walipoanza kupiga kura za kumchagua Muigizaji Bora wa kike kupitia Tunzo za Africa International Film Festival huko Lagos Nigeria.Tunzo hiyo ambayo ilikuwa ikigombaniwa na Ozorkwo,Funke,Akindele,Joke,Silva,Rita Dominic,Ini Edo,wengine..Chanzo cha habari kinabainisha kuwa Rita alimuonea wivu Ini Edo,kwakuwa alikuwa anakubalika zaidi kutokana na kura zinazoendelea kupigwa.