Mwanamziki Mrisho Mpoto,amesema yuko katika harakati za mwisho ili kuweza kutoa single yake mpaya,ambayo ameibatiza kwa jila la Chocheeni Kuni,Kibao hicho kimelenga kutoa ujumbe kwa jamamii kwa ujumla ,aliongeza kwa kusema "shairi langu ni gumu sana ila kwa chambuzi halitawasumua sana ila watambue ujumbe huu ni changamoto kwa selikali yetu na jamii kwa ujumla..'Baadhi ya mashairi yatakayosikika katika wimbo huo ni mstari usemao 'Chocheeni kuni zilizoloa maji,yapete moto ugali usongwe'...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








