Lost Side ni Hiphop Mc's Toka Pande za Arusha linaloundwa na Binara,Erybwaxy na Scom.New joint wanayodrop nayo hapa ni "Battle",Ikiwa ni production ya Arachuga hiphop city."Sisi kama Lost Side tupo watatu na music sasa 2nafanya katika studio mbalimbali apa Tanzania chini ya uongozi wa BM records ambayo ni studio yetu binafsi kwaajili ya kuunda projects mixtapes,Track ya "battle tumerecord pande za noizmekah chini ya bro Defxtro na hopefully hii ngoma mtaipenda na kutupa support,Game kiujumla lina vikwazo hapa na pale na tunashkuru sana wadau kadhaa kutupa sisi uhsauri na moyo tuzidi pambana na game coz we can!!!!
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








