Msanii kutoka katika kundi la Wateule Jafari Mshamu aka Jahffaray ambaye kwasasa anafanyia shughuli zake za kimuziki nchini Kenya, anajiandaa kurelease ngoma mpya mbili kabla mwezi huu wa Januari haujaisha.Jaffaray amesema katika ngoma hizo mbili ameshazipatia majina nazo ni ‘Tembea na mimi’ na ‘Amsha Amsha..katika ngoma hizo amemshirikisha binamu yake ambaye naye pia ni msanii maharufu Africa ya Mashariki ,ambaye anajulikana kwa jina la Naziz kutoka nchini Kenya..Kwa mujibu wa Jahffaray ngoma hizo ndio mwanzo wa ujio wake mpya katika kipindi hichi....
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.