Google PlusRSS FeedEmail

NICK CANNON RECOVERING, TWEETING AFTER SURGERY

Mara baada ya kupata maradhi ya figo na kufanyiwa upasuaji mwanamuziki na Muigizaji Nick Cannon,ameanza kupata nafuu,"alisikika akisema upasuaji ulinitia hofu kutokana na chumba chenyewe watu waliokuwa wakijiandaa kunifanyia upasuaji ,kwa kweli ila nashukuru wamefanikiwa na naendelea vyema sasa..Cannon alipata maradhi hayo wakati akiwa katika mapumziko ya sikuu ya Cristmas na kukimbizwa katika Hospital moja huko Los Angeles...

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging