Google PlusRSS FeedEmail

JE SIMON COWELL ATAWAPA NAFASI BEYONCE NA MARIAH CAREY?

Mara baada ya kapata mtoto wa kike mwanamuziki Beyonce,huenda akajumuishwa kwenye shindano la kusaka vipaji vya muziki nchini Marekani Shindano lijulikanalo kama The X-Factor,Mkurugenzi shindano hilo Simon Cowell inasemekana atampa mkataba Beyonce ili kuungana na majaji wengine katika kumpata chipukizi wa muziki nchini humo..Katika mkataba huo inasemekana Cowell atampatia Beyonce dola Milioni 100,ambapo ataungana na majaji wenziwe kama Paul Abduly,Nicole Scherzinger na Steve Jones..Mara baada ya Beyoce kuulizwa alisema kuwa ataweka bayana swala hilo kwa sasa bado yuko na malezi ya mtoto wake ambaye amepewa jina la Blue Ivy
Kwa mujibu wa chanzo cha habari inasemekana bwana Cowell huenda akasaini makataba na mwanamuziki ambaye pia ni mama wa mapacha Maria Carey ili na yeye ajumuike kama jaji wa shindano hilo..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging