Wanawake wanachukua hatua kuweka majina yaoa katika fani uigizaji wa filamu za huko Nollywood baada ya Chioma Akpotha kuingia anga za kina Emeng Isong 'Kuanda filamu yake mwenyewe ya On Bended Knee..Filamu hiyo inachezwa huko Lagos na imeongozwa na muongozaji maharufu nchini humo Lancelot Imasuen..Wengine waliocheza katika filamu hiyo ni pamoja na Chioma Akpotha ,Chet Anekwe,Seun Akindele,Nichole Ndigwe,mcheza filamu wa kike wa Zimbabwe..Memry Savanhu.Filamu hiyo inayotarajiwa kutoka baadae mwaka huu,filamu hiyo inayozungumzia Kasisi Reuben anajikita zaidi katika kuliongoza kanisa kuliko kuangalia ndoa yake,Kemi mkewe akiwa ametelekezwa na mpweke anapata kampani ya kimapenzi kutoka kwa boss wake,Ebube Kanisa linagundua na Reuben anatakiwa kumuacha mkewe vinginevyo kanisa litamtema yeye..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








