Muigizaji Kim Kardashian ameripotiwa kuwa yuko katika harakati za kuhama katika nyumba yake kutokana na kuwa na hofu ya kuvamiwa ama kuingiliwa katika mambo yake.Baada ya tukio lilitokea mwishoni wa juma moja lililopita wakati mwanaume mmoja asijejulikana alipopiga kelele nje ya mlango wake ndipo mwanadada huyo ameingiliwa na hofu na kuamua kuchukua hatua ya kutaka kuhama katika nyumba yake hiyo.Kwa mujibu wa Tmz mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 31 anataka kuhama katika nyumba yake hiyo ya kifahari ambayo iko katika kitongoji tajiri kijulikanacho kama Beverly Hills alitaka kwenda kwenye sehemu yenye usalama zaidi ,na inasemekana anataka kuishi Bel Air ambako alionekana akiiangalia nyumba kadhaa.Eneo ambalo pia wanaishi nyota wengine kadhaa nchini Marekani kama Cherlie Sheen na Paris Hilton
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.