Mashabiki wa Rapper Ja Rule wameshangzwa na kauli ya Rapper aliyoitoa hv karibuni akisema kuwa jela ni sehemu safi kuishi,Rapper huyo ambaye anatumiaka jela kwa kipindi cha miaka miwili,mara baada ya kukutwa akiwa na bunduki bila ya kuwa na kibali halali..Kauli ya Rapper iliwafikia mashabiki wake kwa njia ya barua yake ambapo alisema jela ni sehemu yenye maisha murua..Rapper huyo anaonekana hivi sasa ameanza kurekebisha kimaadili akiwa jela ambapo anatarajiwa kumaliza kifungo chake Februari Mwakani
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








