Tulisa Contoslavlos amethibitisha kuachana na mchumba wake wa muda mrefu kutoka bendi ya N-Dubz anayejulikana Fazer..Nyota huyo wa utangazaji pamoja na kukiri kuwa hivi sasa sio mpenzi wake tena lakini alishindwa kuweka bayana sababu ya kutengana kwao"Ni vyema tu jamiii ikafahamu kuwa mimi na Fazer hivi sasa kila mtu anaishi kivyake tumevunja uhusiano wetu"Tulisa alisema hawakuachana kwa ugomvi wa kushikiana visu,bali walikubaliana..Wachunguzi wa mambo wamethibitisha kuwa wenza hao hao wametengana kwani mara zote walionekana wakitembea pamoja na kupata chakula katika mikahawa pamoja lakini hivi sasa kila mmoja amekuwa mpweke..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








