Nyota wa muziki wa kizazi kipya Aman Temba kutoka Tmk
wanaume Family aelezea kisa kilichomfanya ashindwe kurekodi video ,wa ni
wewe wimbo ambao alishirikiswa na
mwanamuziki Bibi Cheka,Sababu kubwa alisema kuwa ni kutokana na kutapika
mfulululizo kutokana na harufu ya damu ya binaadamu ambayo ilikuwa ikinuka
katika gari la kubebea wagonjwa,ambapo kuna vipande alitakiwa kuvirekodi katika
gari ya kubebea wagonjwa.inasadikika gari hiyo kabla ya kukodiwa ilikuwa
imebeba mgonjwa ambaye alitokwa na damu nyingi..ambapo ikamsababishia kujisikia
kichefu chefu na kuanza kutapika mfululizo….
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








