Google PlusRSS FeedEmail

MWANAMUZIKI TIM GODFREY"AGIDIGBA"AACHIWA HURU

Muimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria,Tim Godfrey maarufu kama Agidigba ameachiwa huru mara baada ya  kutekwa saa kumi na moja  jioni mwishoni mwa juma  Juma.Kwa mujibu wa taarifa za kutoweka kwake inaelezwa kuwa alitekwa nyumbani kwake ufukwe wa Alpha akiwa ndani ya gari lake aina Honda...Jamaa yake wa karibu Ife Salako aliiambia Nigeriafilm.com.Jamaa yake huyo alisikika akisema "hii inatisha sana msanii wa injili anatekwa katika mazingira haya ya kawaia je hao wasanii wa muziki wa burudani ambao wana fedha nyingi si mbaya,hali si nzuri kabisa"Tim mpaka sasa anatamba na kibao chake kinachijulikana kama Agidigba...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging