Muigizaji gwiji Susan Sarandom amefichua siri ya jinsi gani yeye na mumewe walivyofanikiwa kupata mtoto,,Susan aliuambia umati wa watu jinsi alivyohaha kupata ujauzitohadi mpenzi wake ambae pia ni muongozaji wa filamu Franco Amurri,alipompeleka kwenye vivutio vya kitalii huko Rome Italy mwaka 1984..Mama wa muigizaji huyo Eva Amurri,ambaye sasa ana umri wa 26 tangu kuzaliwa kwake alisema kila mtu anayepata wakati mgumu wa kushika mimba na kama ana uwezo aende Rome Italy.Aliyasema hayo yote alipokuwa katika mfululizo wa vipindi vya watu mashuhuri vya Lucid Conversations vinavyoongozwa na Alan Cumming..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








