New Kings ni muunganiko wa vijana wenye passion na ku"shake",ni Dance Crew Toka Arachuga moja wakiwa na maskani yao ya tizi pande za kijenge moko.Ujio wa NewKings katika game ni wa kimapinduzi kwani wameshashiriki mashindano kadhaa katika kuonesha mauwezo yao jukwaani.Kwa sasa tunapiga zoezi kudance trax za "rudstepzz Vol 1" ikiwemo ile ya party people ya YungOmega katika harakati za kujiandaa na video.big up noizmekah.com kwa ruksa na baraka za producer defxtro so hapo ni full mwendo wa ragga yani jamaica kuhamia arachuga moko"Mafans wetu wote tunawapenda na kikubwa tunachoomba ni support yenu siku hadi siku"Uongozi na udhamini kwa kundi letu ni kitu tunaamini tukipata kitatupatia mwelekeo wa kasi zaidi katika mafanikio!!!!
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.