Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ yupo kwenye kibarua kizito cha kuandaa albamu yake ambayo hajatangaza ataitoa lini..Anachokifanya kwa sasa ni kuandaa albamu yake ili itakapotoka iwe ya mshtuko kwa kila mtu anayefatilia muziki wa kizazi kipya .Alisema kwa kipindi hiki huwa na kawaida ya kujifungia studio kuanzia asubuhi na kufanya kazi siku nzima kwa lengo la kuifanya albamu yake iwe na ubora unaokubalika.“ Nataka utulivu ili niikamilishe kwa haraka ikiwa na ubora unaokubalika,”Alipoulizwa studio ambayo huwa anakwenda kujifungia, Chid aligoma kuitaja kisha akaongeza: “Sitaki kuitaja kwa sababu nyingi....
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.