JE ? LIL WYNE ATAFUNGA NDOA NA BINTI HUYOOO? Posted on by Unknown Mara bada ya kuonekana na mrembo huyu kwa mda sasa wachambuzi wa mabo wanasema kuwa Rapper Lil Wyne anatarajiwa kufunga ndoa na mrembo huyo,Tayari Wyne ambaye ana umri wa miaka 29 mpaka sasa ana watoto wanne..