Muigizaji na Mkali wa ngoma ya kush the man himself rafiki wa karibu na Tupac those days, yuko njiani kufanya filamu ya kutisha iliyopewa jina la “Thaw”.Movie itaandikwa na mkali wa kuandika movies Vick Weet, Kutoka Variety habari zinasema Dr. Dre ataifanya filamu hiyo na rafiki yake Daniel Schnider ambae ndo ameleta wazo hilo. Movie itahusisha mashetani ambayo yatakua yanatokea kwenye barafu inayoyeyuka huko Yukon...Dr Dre sio mgeni Hollywood, The Super Producer/ Rapper alizindua filamu mwaka 2007 na deal ya New Line. Hii ni alama ya toleo la kwanza akiwa chini ya ushirikiano.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.