Google PlusRSS FeedEmail

SIJAPINDA KIHIVYO – JACK WOLPER.

“Nimejitoa kuigiza katika kiwango cha juu kila siku nahitaji kuwa bora zaidi ya kazi iliyopita kwa sababu hii ni kazi yangu na naipenda, baada ya kutoka filamu ya Dereva Tax baadhi ya watazamaji wanajua kuwa mimi ni binti mtukutu na mkorofi kumbe ni uhusika tu wala sipo hivyo mimi ni Binti mtulivu kabisa ni (script) muswada ilifanya nifanye hiyvo,”anasema .Jack ni mwigizaji anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu Tanzania kutokana na mavazi yake na kuigiza katika kiwango cha juu, filamu alizoshiriki msanii huyo ni Last Minitus, Surprise, Secretary, All about Love, dereva Taxi inayokimbiza mtaani kwa sasa.

KWA HISANI YA FC..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging