Mara baada ya kufanya vyema katika muziki wa kizazi kipya msanii Godfrey Tumaini ameibuka na kusema si kweli kwamba ukimya wake katika muziki ni kutokana na kuishiwa.Godfrey Tumaini ambaye hupenda kuitwa Dudu Baya,amesema yeye ni tofauti na wasanii wengine,kutokana na yeye huendesha maisha yake kwa vyanzo vingine na si kutegemea muziki tu kama wasanii wengine."kwa sasa nina kampuni yangu mwenyewe ambayo inajulikana kama Tumaini Entertainment ambayo huwa naandaa matamasha mbalimbali,na kunipatia fedha za kujikimu na maisha yangu na familia yangu kwa ujumla"Vile vile amesema ana kampuni nyingine inayojulikana kama Mambaz Timbers ambayo inajihusisha na maswala ya uuzaji wa vifaa vya ujenzi..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.