Nyota wa Filamu kutoka Nollywood Nchini Nigeria Ini Edo,anatarajia kufungua Taasisi itakayoitwa Teach One ,Save A Thousand..Lengo la kufungua taasisi hiyo ni kuboresha elimu kwa watoto wanaishi katika mazingira magumu nchini Nigeria.Ini Edo ambaye ni balozi wa Vijana wa Umoja wa Mataifa,amesema taasisi yake hiyo inahudumia watoto wenye mazingira magumu katika Eneo la Ajegunle na maeneo ya Jirani..Hatua ya mcheza filamu kufungua taasisi hiyo ilitokana na kujionea watoto wa eneo hilo wakiishi katika mazingira magumu..wazo hilo lilimjia wakati alipokuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo alikwenda katika eneo hilo kama balozi wa kampuni ya Glo..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.