Msanii ambaye anafanya vyema katika muziki wa kizazi kipya kwa sasa Dullayo.{Abrahamani Kasembe}ameweka bayana kuwa nataka kuoa..amesema hali ya mambo kabla ya kufikia uamuzi wa kuoa ni kutokana na mazingira anayokutana nayo kwa sasa tangu alipojingiza na kupata mafanikio kwenye muziki wa kizazi kipya.."nimeshawahi kuwa na mahusiano na wasichana wengi ila mwisho wa siku nikagundua walikuwa hawana mapenzi ya kweli bali walikuwa wananipenda kutokana na umaharufu wangu na fedha zangu tu"
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.