Google PlusRSS FeedEmail

OMAR MKALI AJITUMBUKIZA KATIKA NYIMBO ZA INJILI

Mwanamuziki anayetamba na muziki wa mduara Omari Mkali,ambaye alijipatia umaharufu mkubwa tangu alipokuwa na bendi ya Chuchu Sound.Omar amesema katika swala la kumsifu Mungu hakuna swala la itikadi za kidini..Ameongeza kwa kusema mama yake mzazi ni Mkristo na baba yake ni Mwislam,Jambo linalomfanya awe na imani ya kati bila kuelemea itikadi ya upande mmoja,Maneno hayo alisema mara baada ya kurekodi nyimbo mbili za injili ambapo zitakuwa kwenye albamu ya mseto ambayo imepatiwa jina la "MKONO WA BABA AMEN " ambapo ndani ya albamu hiyo yumo Stara Thomas ambaye kwa sasa anajihusisha na muziki wa Injili"nimeimba muda mrefu sana nyimbo za burudani sasa ivi nimeamua imba nyimbo za Injili hii ni Kumshukuru Mungu kwa yote aliyonifanyia katika maisha yangu,Natarajiwa kuonekana hadhani nikimba nyimbo hizo katika Tamasha la Pasaka

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging