Mwimbaji Toni Braxton na mwigizaji nguli wa filamu pamoja na vichekesho Eddie Murphy inasemekana wana uhusiano wa kimapenzi,wachunguzi wa mambo wanasema penzi lao jipya ni zuri na tamu.wawili hao wamekuwa marafiki kwa miaka lakini inaonesha talaka zao zimewakutanisha kwa karibu zaidi.Chanzo cha habari kiliiambia jarida la Us Weekly kuwa Toni Braxton na Eddie Murphy wamekuwa wakikutana mara kwa mara zaidi ya miezi minne sasa.Hata hivyo Toni aliweka bayana kuwa hakuna kitu chochote kinachoendelea kati yao bali ni urafiki wa kawaida,kinachotuunganisha ni kwamba kati yetu kila mmoja anapenda kazi za mwenzake...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.