Kuna habari zinasema mama mzazi wa wa Mwanamuziki Whitney Houston,Cissy Houston anatarajia kwenda katika hotel aliyofia mwanae Beverly Hilton,Kwa mujibu wa Tmz Mwanamama huyo atakapofika atakwenda mija kwa moja mpaka chumba number 434 chumba ambacho mwanae alifia.imeelezwa kuwa mama huyo hana raha na kila anapoulizwa anasema anaomba aende kwenye chumba alifia mwanae.Tangu kifo cha mwanamuziki huyo mashabiki na wapenzi wa muziki wake wamekuwa wakifika katika hoteli hiyo ma kuweka mashada ya maua.Mapema mwezi uliopita Tmz iliripoti kuwa wageni mbali mbali wamekuwa wakitumia chumba alichofia mwanamuziki huyo.kwa mujibu wa meneja wa hotel hiyo wanasema wageni wamekuwa wakigombea kupatiwa chumba hicho..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.