Google PlusRSS FeedEmail

FOREST WHITAKER & OPRAH WINFREY KUCHEZA FILAMU PAMOJA

Mshindi wa tunzo ya Oscar ,Forest Whitaker na Oprah Winfrey wako katika maandalizi ya filamu ya pamoja ambayo itajulikana kama Precious,ambapo watacheza kama mke na mume,Muongozaji wa filamu hiyo Lee Daniels amesema Forest ambaye ni nyota wa filamu ya The Last King Of Scotland atacheza kama mume wa wa Oprah,ambaye atamuigiza Eugene Allen aliyekuwa mtumishi wa Ikulu ya Marekani kwa kipindi cha miaka 34 kuanzia mwaka 1952..Pia katika filamu hiyo watakuwepo mastaa wengine kama Hugh Jackman na Liam Neeson"...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging