Google PlusRSS FeedEmail

WIKI CHACHE MARA BAADA YA KIFO CHA MAMA YAKE BOBBI KRISTINA ASHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

                       
Mtoto wa kike wa wanamuziki Boby Brown na Marehemu Whitney Houston,Bobbi Kristina Jumapili ametimiza miaka 19 tangu kuzaliwa kwake.Akisheherekea siku yake hiyo kwa mara ya kwanza tangu kifo cha mama yake,Binti huyo hakufanya sherehe kubwa kutokana bado yuko katika majonzi ya kifo cha mama yake.Tangi kifo cha mama yake Bobbi Kristina amekuwa akifikishwa hospitali mara kadhaa ktokana na msongo wa mawazo..Siku hiyo aliitumia akiwa na bibi yake ila alionekana akiwa mwenye furaha..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging