Mwanamuziki Longoria ameamua kuachana na masuala ya mapenzi ili kuelekeza nguvu katika kazi zake za kimuziki.Mwanamuziki huyo alichukua uamuzi huo mara baada ya kujihusisha na maswala ya mahusiano ambayo mwisho wa siku huishia katika migogoro na mwishowe huachika..mwana mama huyo ambaye alikuwa na mahusiano na Eduardo Cruz ambaye kwa sasa bado wako katika mgogoro mkubwa.."kwa sasa sioni sababu ya kuwa na mahusiano kwa kuwa mara zote naumizwa na wanaume ambao nakuwa nawaamini,bila kutaja majina ya waliomuumiza..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.