Msanii anayefanya vyema kwa sasa katika Tansia ya Filamu Nchini Kajala Masanja Amefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisitu na kushitakiwa kwa makosa matatu ikiwamo kosa la kusafisha fedha haramu,kosa ambalo kisheria halina dhamana na kurudishwa rumande,,,Katika kesi hiyo Kjala anashitakiwa pamoja na mume wake Faraji Mchambo,makosa mengine ni kula njama na kubadili hati ya nyumba.Kajala alikana mashitaka yote hayo.hakimu fimbo aliarisha kesi hiyo mpaka April 20 mwaka huu,ili kutolea maamuzi yaliombwa na wakili wa msanii huyo..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.