Nyota wa filamu nchini Nigeria Genevieve Nnaji,amefunguka mara baada ya kutoa kauli kuhusiana na watu ambao wako katika mahusiano ya ndoa.Mwigizaji huyo ambaye mpaka sasa ni bachela,alitoa kauli huyo kwenye sherehe za kampeni ya Voice of Hope,ambapo alizungumzia maswala ya ndoa na upatanishi wa familia..Ili kuepusha suala la utolewaji wa Talaka,Kampeniya sauti ya matumaini imeanzishwa na Royalty ikiwa na lengo la upatanishi kwa wanafamilia..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.
ina maana nnanji hakuolewa na coco master 'dibanj'?