Msanii Rich Mvoko Amesema licha ya ugeni katika mzingi wa kizazi kipya amesema mwaka huu ambao kwake unagawanyika kwa mbili atafanya vyema katika kazi zake zijazo.Rich amesema mara baada ya kuachia kazi yake ya kwanza lakini amepata mafanikio makubwa hiyo ni ishara nzuri kwake na amejipanga kufanya makubwa zaidi katika kazi zake zijazo..aliongeza mpaka sasa msanii ambaye anamuumiza kichwa ni Diamond na sababu amesema ni kutoakana na msanii huyo kuwa na style ya kivyake vyake na anakubalika sana..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.