Tunzo za Vinara film awards ambazo ziliwahi kufanyika mwaka 2007/2008 zinatarajiwa kufanyika mwaka huu, tuzo hizo zilizoandaliwa na kampuni ya One Game Promotion ya jijini Dar es Salaam zimetangazwa hivi karibuni mara nyingi utoaji wa tuzo kwa tasnia ya filamu umekuwa tofauti na tuzo za fani nyingine ambazo huwa na tunzo.Tuzo hizo ambazo ni katika harakati za kutoa hamasa kwa tasnia ya filamu Nchini hadi sasa bado tarehe ya utoaji wa tuzo bado kujulikana , mmoja wa waandaaji alisema kuwa kwa sasa wao katika mchakato wa kufanya mabororesho na kuwa ni tuzo zenye hadhi. Utoaji wa tuzo endapo utafanyika kwa kila mwaka kama zilivyo tuzo nyingine zitasaidia kukuza tasnia ya filamu Nchini.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.