Mwanamuziki Shakira Amesema kamwe hataacha kushabikia mchezo wa soka kwa kuwa mchezo huo upo kwenye damu..Shakira ambaye ni mpenzi wa timu ya Barcelona alisema kuwa hawezi kutenganisha soka na muziki"Nilianza kujikita kwenye soka tangu mwaka 2006 nilipoimba katika fainali za kombe la Dunia Ujerumani lakini katika maisha yangu siwezi kusahau fainali za mwaka 2010 Nchini Africa ya Kusini,fainali zilikuwa za aina yake..Shakira amesema anatumia kipaji chake cha kuimba ili kutuma ujumbe kwa jamii kuhusu maswala ya elimu na alisema yuko radhi kwenda kokote Duniani kwa maswala ya soka..Hispania ilitwaa Kombe la la Dunia katika fainali za Africa ya Kusini ambapo Shakira Alipata nafasi ya kutumbuiza katika ufunguzi wa fainali hizo,ambapo shakira ana mahusiano na mchezaji wa timu ya taifa ya Hispania Gerard Pique..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.