Mwanamuziki anayekuja kwa kasi katika gemu la muziki nchini ‘ASLAY’ anatarajia kutoa nyimbo mpya hivi karibuni inayoitwa ‘UMBEA’ aliyomshirikisha Chege.Akizungumza na mwandishi wa blog hii Said Fella amesama, nyimbo hiyo imetengenezwa na Suresh Studio za mkubwa na wanawe zilizopo Temeke na video imefanywa na ‘Visual ‘ Pamoja na hayo alisema kuwa nyimbo ya umbea itakuwa nyimbo ya tatu kutoa Aslay ya kwanza niwe nawe, na ya pili naenda kusema..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








