Google PlusRSS FeedEmail

M\FLAVIAN MATATA ATOA SOMO KWA SELIKALI

Mwanamitindo Flaviana Matata ameishauri serikali ijifunze kutokana na kifo cha msanii mahiri katika tasnia ya filamu Swahiliwood Steven Charles Kanumba na kutambua umuhimu wa kazi za wasanii, jinsi kwa juhudi zao binafsi kulitangaza Taifa Flaviana anasema kuwa hakuna faida ya msanii kusifiwa baada ya kifo“Kifo cha Kanumba kilionyesha jinsi gani wasanii wanavyokubalika katika jamii na hata nje ya mipaka angalia wasanii kama AY, mtu kama Hasheem Thabit na wengineo serikali inawaunga mkono kwa kiwango gani katika kulitangaza Taifa hili? Lakini katika kifo cha Kanumba tulimwona kila kiongozi alifika msibani,”anasema Flaviana.
Flaviana amesema hayo baada ya kuja na kutoka nje na kuleta maboya 500 kama msaada kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kama kumbukumbuku ya watu waliopoteza maisha kutokana na kuzama kwa Meli ya Mv. Bukoba huko Mwanza lakini alikabiliana na mtihani mkubwa pale alipotakiwa kulipia kodi mara tano ya bei manunuzi.Msanii Hayati Kanumba alifariki tarehe 7. April. 2012 nyumbani Sinza Vatcan ikisemekana kuwa kifo chake kilitokana na kusukumwa na msanii mwenzie Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kumsababishia kifo hicho, Flaviana amesema kuwa Serikali imekuwa ikiangalia mchezo wa mpira wa miguu tu na mashindano mengine pamoja kukosa mafanikio.

.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging