Mke wa msanii wa Hip Pop Jay Z, Beyonce ametambua kuwa yeye ni mkali wa kucheza mchezo wa Pooltable kwa sasa.Mama huyo wa mtoto mmoja alithibitisha hilo hivi karibuni katika klabu ya mchezo huo, alipomfunga mchezzji mahiri.Akiwa amevaa suruali na top huku akionekana kama ni binti wa miaka 20, Beyonce aliweza kuonyesha uwezo mkubwa katika mchezo huo.Beyonce alisema “Hii ni sehemu ya maandalizi yam wimbo wangu mpya, ambao nitaonekana nikicheza mchezo huo naupenda na sasa najua kuucheza .
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








