Google PlusRSS FeedEmail

BEYONCE APUNGUA KILO 27

Mwanamuziki Beyonce ambaye amejifungua mtoto wa kike Blue Ivy miezi mitano iliyopita ametaja kiasi cha uzito wake uliopungua kwamba ni kilo 27.Katika onesho lake la pili alilofanya juzi usiku Revel Beach Ovation Hall mjini Atlantic City nyota aliwaeleza mashabiki wake amekuaje baada ya kuwa mjamzito. “wote hamjui jinsi gani nilivyofanya kazi kubwa “mwanamuziki huyo aliwaambia mashabiki wake.
“Nimepoteza kilo 27 nimepoteza uzito huo kwa mazoezi ninakula mboga aina ya saladi”, amekuwa akila matunda,ambapo katika mwili wake mikunjo ya tumbo imepotea hali hiyo imeonekana katika maonesho aliyofanya jukwaani. Mwimbaji huyo amerejea jukwaani kwa kufanya kazi yake ya muziki na kupambana kurejesha kiwango huku akisema atauchunga mwili wake mwenyewe

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging