Google PlusRSS FeedEmail

MISS TABORA AMEPATIKANA

Mshindi wa taji la Redd's Miss Tabora 2012, Sarah Paul(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Alice Amour (kushoto)mshindi wa pili na Glory Mongi ambaye ameshika nafasi ya tatu, mara baada ya kutawazwa kuwa washindi na kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kanda kwenda kwenye fainali ya Redds Miss Tanzania 2012.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging