Ni kawaida wasichana na wanawake ukwakuta na matumizi ya scarf, kwani ni moja ya nguo au kivazi kinachomfanya mwanamke aweze kuvutia na kupendeza..Kuna njia tofauti za kufunga scarf hiyo kulingana na nguo uliyovaa na sehemu unayoenda na aina ya scarf.Unaweza funga scarf kwa kulinganisha kipingili zilingane kwa njia moja kama tai.Vile vile unaweza kufunga katika nusu ya urefu, kisha kuiweka kwenye shingo yako ili mwisho moja iwe ndefu nyingine iwe fupi kufanya fundo huru Kufanya fundo huru mwishoni tena.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








