Kiatu ni moja ya kitu kinachotumika kuhifadhi miguu yetu, vilevile tunatumia kuongeza urembo na nakshi kwa mvaaji.Vipo viatu vya aina mbalimbali vinavaliwa kulingana na mahali na mavazi.Kiatu kirefu ni aina ya kiatu ambacho wasichana wengi hupenda kuvaa ili waonekane warembo zaidi, viatu virefu vipo vya aina mbili, vipo virefu vya wazi, na virefu vya kufunika.Viatu vya namna hii vinamitindo mbalimbali vyenye visigino vyembamba na visigino vinene
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.