Wengine watakaounguruma katika tamasha la Caribbean Beat hapo leo ni Dabo,Susu Man Jahson, Chibwa na Ras Six wote wakiwa ni wakali kutoka katika kundi la kizazi kipya cha Reggae."Nihakikishie tu wapenzi wa nyimbo za reggae kuwa wasanii wamejipanga kutoa burudani kabambe ambayo haijapata kutokea katika historia ya reggae hapa nchini kutakuwa na bendi nne zilizo na jumla na wasanii 55 hakika watanzania watarajie kuona tamasha kabambe litakalodumu katika kumbukumbu zao" alisema huku akiwaonyesha baadhi ya wasanii hao katika ukumbi wa Habari Maelezo Hii ni mara ya saba sasa kwa tamasha hili kufanyika nchini kwa mujibu wa Cosmo, tamasha hili ambalo linafanyika dunia kote limepewa jina la Bob Marley lengo lake ni kukumbuka maisha ya raia wa Jamaica na nguli wa muziki wa reggae duniani Robert Nesta "Bob Marley"Tangu mwaka 2006, matamasha ya Caribbean yamewawezesha kuwatoa wasanii wengi amabao baadhi yao hivi sasa wanafanya muziki wa reggae kibiashara mfano mzuri ni Msanii Amini ambaye kipaji chake kiligundulika kwanza kupitia Caribbean Beat ndipo alipochukuliwa na mdhamini aliyemuezesha kumfikisha mbali katika muziki wa kibiashara.
TAMASHA LA BOB MARLEY LEO