 |
| Wasanii
wa muziki wa kizazi kipya wa kundi la Wanaume Family, Said Juma ‘Chege’
(kushoto) na Amani James Temba ‘Mheshimiwa Temba’ wakionyesha makali
yao katika onyesho la uzinduzi wa huduma ya Airtel Jiunge na Supa 5 Dodoma |
 |
| Sehemu
ya umati wa wakazi wa Mji wa Dodoma waliohudhuria uzinduzi wa huduma ya
Airtel Jiunge na Supa 5 Dodoma |
Msanii wa kundi la muziki wa bongo fleva la Tip Top Connection, Hamad Ally ‘Madee’ akichengua mashabiki wake waliojitokeza katika onyesho la uzinduzi wa huduma ya Airtel Jiunge na Supa 5 mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.