Google PlusRSS FeedEmail

MZEE YUSUF AONGOZA KWA UTAJIRI,MAREHEMU KANUMBA AFUATIA



Mkurugenzi na mwimbaji wa bendi ya Jahazi Modern Taarab Mzee Yusuf anasadikiwa kuwa ni msanii tajiri kushinda wote hapa nchini Tanzania. Hayo yalielezwa katika kipindi kimoja kilichokuwa kinarushwa katika televisheni ya Clouds TV ambacho kilikuwa kinatoa orodha ya wasanii 10 wanaongoza kwa utajiri nchini Tanzania.

Kipindi hicho kilimtaja Mzee Yusuf kuwa utajiri wake unaotokana na kumili nyumba kumi na kumiliki duka moja lililopo katika jengo la Quality Plaza la jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa kipindi hicho msanii anayefuata ni marehemu Steven Kanumba akifuatiwa na msanii wa kike Lady Jaydee.

Wengine waliotajwa walikuwa ni Vicent kigosi msanii wa filamu za kibongo mwimbaji wa nyimbo za injili Bi. Rose Muhando. Wengine ni Ambwene Yesaya (AY), Diamond Platinum, Ally Kiba wote hao ni wanamuziki wa nyimbo za kizazi kipya

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging