Msanii mpya katika anga la muziki wa Bongofleva Cheka Hijja, maarufu kama ‘Bibi Cheka’ mwishoni mwa wiki ‘amefenguka’ na kusema kuwa ni miongoni mwa wasanii walioanza kupata majina kupitia kwa wasanii.Akizungumza na chombo cha habari hapa jijini Dar es Salaam alisema “mimi ni kati ya wasanii walioanza muziki huu kitambo na kukutana na changamoto mbalimbali za muziki huu” alisema Bibi Cheka Bibi Cheka amefunguka na kusema kuwa mwaka 2005 alishakaa akisubiri bahati yake ya kuingia studio kufanya kazi katika studio maarufu ya Dhahabu Records.Maneno matamu yaliendelea huku akisema kuwa alikaa kama wasanii wengine chipukizi wanaosubiri siku hisiyo na jina kuweza kurekodi katika Dhahabu Records"Nilikula na kulala katika kitanda kimoja na swahiba wangu mama Dully kwa muda wa miezi sita" anafunguka Bibi Cheka
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.