Mume wa zamani wa mwanamuziki na mwigizaji, Jennifer Lopez, Marc Anthony, amejaribu tena kutaka kurudiana na mkewe wa zamani lakini akaamua kuomba talaka baada ya mwanamama huyo kudai kuwa bado yupo kwenye mapenzi na rafiki yake wa kiume, Casper Smart .Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, Marc alishtushwa na hali hiyo kutokana kwamba hakufahamu mahusiano kati ya Jennifer na Casper yalivyokuwa makubwa“Awali alikuwa hana taarifa kwa jinsi wanavyopendanana ndiyo maana akawa anajaribu kutaka kurudiana na mpenzi wake wa zamani"kilieleza chanzo cha habari. Kilieleza kuwa baada ya kubaini hali hiyo juzi Marc, aliamua kuomba talaka ikiwa ni miezi tisa tangu walipotangaza kutengana...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.