Goodlyfe Crew of Mowzey Radio na Weasel wanatafutwa na polisi mjini Entebbe baada ya wanamuziki hao wakiwa na meneja wao aitwaye. Jeff Kiwanuka kwa kile kilichoelezwa kumchapa makonde Fred Munyagwa ambaye ni mlinzi mkuu wa club ya usiku iitwayo Silk Chanzo cha habari kinaeleza kuwa mlinzi huyo alikuwa akipata kinywaji na mke wake katika bar moja mjini Entebe wakati tukio hilo likitokea Wakiwa na msaada wa watu wengine walirusha chupa tupu nyingi kwa Munyagwa,huku wakimtuhumu kuwa huwa nawanyanyasa kila wakienda Club Silk. Munyagwa aliripoti tukio hilo Entebbe Police na kupewa RB yenye namba SD 03/04/06/ 2012 OC CID wa kituo hicho bwana Joseph Ssentamu amethibitisha tukio hilo na kusema wanaendelea kuwatafuta wanamuziki
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.