Mwanamuziki mkongwe wa kimarekani Madonna Louise ‘Madonna aliwaacha midomo wazi mashabiki waliohudhuria katika onesho lake mwishoni wiki jana lililofanyika mjini Istanbul, nchini Uturuki baada ya mwanamuziki huyo kuonyesha matiti yake Akiwa katika ziara yake ya kimuziki inayojulikana kama MDNA, alifanya kihoja hicho wakati akiimba wimbo wake uliotikisa wa Human Nature, ambapo baadhi ya mashabiki walimuomba kuwaonesha matiti ambapo Madonna alikata mzizi wa fitina kwa kuwaonesha mashabiki hao matiti yake, moja baada ya jingine
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.