Google PlusRSS FeedEmail

CHEGE "SINA MPANGO WA KUFUNGA NDOA HIVI KARIBUNI, ILA NIMEKAMILISHA NYUMBA YANGU NA MTAA UTAPEWA JINA LA CHEGE STREET

Mwanamuziki na Mmoja kati ya wanamuziki  wa kundi la tmk wanaume faimly ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake mwanayumba, mtoto wa Mama Saidi Chege Chigunda amedai kuwa yeye bado yupo yupo sana,na  hana mpango wa kuchukua jiko kwa kile alichodai ndoa zina matatizo,ameongeza kwa kusema jamaa zake wa karibu kama  Mh.Temba hawamshauri kufanya hivyo, zaidi ya kumwonya kuwa asifanye hivyo..  Chege mwenye mtoto mmoja ambae anaishi na mama yake, na mwingine alifariki Dunia hivi karibuni, siku chache baada ya kuzaliwa pia aliongeza kwa kusema  kuwa amekamilisha mjengo wake ambao bado hajaamia.. na wakazi wa mtaa wake wapo kwenye process za kuuita mtaa huo kwa jina la chege

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging