Google PlusRSS FeedEmail

DKB Slaps Zainab (Big Brother Africa 2012)

                         
Katika shindano la Big Brother Africa ni mwiko katika Jumba Hilo,Ugomvi uliopelekea washiriki wawili wa big brother kuleteana fujo umewafanya washiriki hao kutolewa kwenye jumba hilo. Zainab (Sierra Leone) na Dkb (Ghana) walianza kuzozana toka mchana ambapo huo mzozo ulizua ugomvi, kitu ambacho hakiruhusiwi kabisa Big Brother… washiriki wake wanaruhusiwa kugombana lakini sio kupigana, kwa kosa hilo la kugombana mpaka kugusana imebidi watolewe moja kwa moja. Kwenye kesi kama hii BBA wameripoti kwamba washiriki hao hawawezi kurudishwa tena kwenye nyumba na kuna uwezekano nafasi zao zikachukuliwa na washiriki wengine waliotolewa BBA, Je wanaweza kuitwa?

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging