YALIYOJILI KATIKA SHOW YA SUGU DAR LIVE Posted on by Zourha Malisa Mbunge wa Mbeya mjini Sugu akiwarusha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live Sugu na Mkoloni wakizidi kuwadatisha mashabiki.