Google PlusRSS FeedEmail

KAULI YA AFANDE SELE KUHUSIANA NA DIS YA WIMBO WA NEY WA MITEGO

"Simjui huyo Ney ni nani anaigiza filamu au ni demu gani? mimi najua majina kama hayo ni ya mademu sasa iweje Neema anidiss mimi?"NI kauli ya nyota mwenye 'Crown' ya mkali wa Rhymes nchini Seleman Msindi 'Afande Sele' kuhusiana na 'diss' dhidi yake iliyotolewa na msanii mwenye uwezo mkubwa wa kuchana hivi sasa hapa Bongo, Ney wa Mitego kupitia track yake mpya iliyopewa jina la 'Nasema Nao'.Akizungumza na mtandao huu namba moja ka habari za mastaa, Afande Sele mwenye maskani yake pande za Morogoro amesema kuwa kamwe hajawahi kusikia wala kujua kama kuna msanii wa hip hop hapa Bongo anayeitwa Ney na kusisisitiza kuwa hamjui huyo mtu kabisa.Alipotakiwa kusema kama ameisikia Track hiyo Sele alifunguka kuwa hajui kitu chochote kuhusu"Simjui huyo Ney ni nani anaigiza filamu au ni demu gani? mimi najua majina kama hayo ni ya mademu sasa iweje Neema anidiss mimi?"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging